Umewahi kulia kimya kimya…
Umewahi kutabasamu mbele za watu…
Umewahi kujiuliza… “Nimepotea wapi?”

Nimepotea wapi?

Kwa nini sijisikii tena kuwa mimi?

Kwa nini nimekuwa nikiishi maisha ya kuwafurahisha wengine huku nikijisahau?

Kama umewahi kuhisi hivyo…

HAUKO PEKE YAKO.

Bado hujachelewa kuanza tena.

Hii si audiobook ya kawaida.

Hii ni safari ya kukurudisha kwa mwanamke uliyekuwa kabla ya maumivu.

Kabla ya lawama.

Kabla ya machozi.

Kabla ya kujisahau.

SAFARI YAKO YA KURUDI NYUMBANI — KWA NAFSI YAKO.

Je, hii ni kwa ajili yako?

Umechoka kubeba maumivu peke yako

Unaishi kwenye mahusiano au ndoa zinazomuumiza

Umeanza kupoteza kujiamini

Umeanza kuamini maneno mabaya aliyokuwa akiambiwa

Umejisahau kwa sababu ya kuwajali wengine

Umeacha ndoto zako kwa sababu ya maumivu

Unatamani kuanza kujipenda tena

Unatamani kuishi kwa amani bila kujisikia hatia

“Kama hata sehemu moja imekugusa… audiobook hii imeandaliwa kwa ajili yako.”

NDANI YA AUDIOBOOK UTAJIFUNZA

Sura ya 1

Mwanamke Aliyejisahau

Jinsi ya kumrudisha mwanamke ambaye ulipoteza njiani.

7m 04s
Sura ya 2

Ulipoanza Kuamini Wewe Ndio Tatizo

Jinsi ya kuacha kubeba lawama ambazo si zako.

7m 53s
Sura ya 3

Maneno Yao Si Utambulisho Wako

Jinsi ya kuondoa nguvu za maneno yaliyokuvunja moyo.

8m 21s
Sura ya 4

Kujipenda Sio Ubinafsi

Kwa nini kujijali ni sehemu ya uponyaji wako.

8m 20s
Sura ya 5

Bado Unaweza Kuota Tena

Jinsi ya kufufua ndoto ulizoziacha kwa miaka mingi.

7m 40s
Sura ya 6

Watoto Wako Wanahitaji Mama Mwenye Amani

Kwa nini uponyaji wako unaweza kubadilisha kizazi chako.

7m 28s
Sura ya 7

Dunia Haijaisha

Jinsi ya kuona uwezekano mpya hata baada ya maumivu makubwa.

7m 43s
Sura ya 8

Chagua Kuishi Tena

Safari ya kuamua rasmi kuanza maisha mapya.

7m 28s
Sura ya 9

Ahadi Kwa Nafsi Yangu

Kiapo cha mwanzo mpya kitakachokufanya ujikumbuke kila siku.

7m 44s

AUDIOBOOK HII ITAKUPA

Kujiamini upyaKujitambua upyaAmani ya ndaniNjia ya kujipenda tenaMatumaini mapyaUjasiri wa kuanza tenaNguvu ya kufufua ndoto zakoMtazamo mpya kuhusu maisha

Kwa nini audiobook hii ni tofauti?

Audiobook ya kawaida
  • Ushauri tu
  • Habari za jumla
  • Unasoma/Unasikia
  • Unajifunza
Maisha Mapya baada ya Machozi
  • Safari ya kihisia
  • Simulizi utakazojiona ndani yake
  • Unabadilika
  • Unaponya

“Lengo si kukufundisha tu. Lengo ni kukubadilisha.”

BONUS UTAKAZOPATA

Mazoezi ya Kujitambua

Mazoezi yatakayokusaidia kuanza uponyaji wa ndani.

Affirmations za Kila Siku

Maneno ya nguvu ya kujenga kujiamini kila asubuhi.

Simulizi za Nguvu

Simulizi zinazokufanya ujione ndani yake.

Mwongozo wa Kujipenda

Hatua za vitendo za kuanza kujipenda tena.

FIKIRIA MAISHA YAKO BAADA YA MIEZI SITA…

Unaamka asubuhi ukiwa na amani.

Unajiheshimu.

Unazungumza na nafsi yako kwa upendo.

Unaanza kufuatilia ndoto zako.

Watoto wako wanaona mama mwenye tabasamu.

Unaanza kuamini katika maisha yako tena.

“Safari hiyo inaweza kuanza leo.”

Usisubiri mpaka uchoke zaidi.

Usisubiri mpaka ujisahau kabisa.

Usisubiri mpaka ndoto zako zife.

“Jipe zawadi ya kujirudisha tena.”

“Kwa sababu hakuna mtu mwingine atakayeishi maisha yako isipokuwa wewe.”

CHUKUA HATUA YA KWANZA LEO

Bonyeza kitufe hapa chini na uanze safari yako ya kupona, kujipenda na kujenga maisha mapya.

🔒 Malipo salama kupitia Snippe · Ufikiaji wa papo hapo baada ya malipo

MAISHA MAPYA BAADA YA MACHOZI

“Kwa sababu thamani yako haijawahi kupotea. Ilikuwa inakusubiri tu uikumbuke.”

“Maisha Mapya baada ya Machozi.”

Jiunge

Pokea ushauri wa kila wiki.

Reflections, vipindi vipya, na zana za kukusaidia kuelewa akili yako — moja kwa moja kwenye inbox yako.

#njootuzungumze · Dar es Salaam
conradley.
Talk About It With Conradley © 2026. Badilisha Tabia, Badilisha Maisha.Imeundwa kwa upendo · Tanzania