Talk About It With Conrad Ley — Live kila wiki

Conrad Ley— Coaching ya Afya ya Akili & Mahusiano

Karibu kwenye jukwaa linalojikita katika elimu ya afya ya akili, uponyaji wa kihisia, mahusiano na kujitambua.

Nitakusaidia kujielewa kwa kina, kujenga mahusiano yenye afya na kuanza safari ya kupona maumivu ya ndani kupitia maudhui yanayofundisha, kuhamasisha tafakari na kutoa mwongozo. Hapa utapata nafasi salama ya kujifunza, kukua na kuishi maisha yenye amani, uelewa na ustawi wa kweli.

120K+
Jumuiya
200+
Vipindi
10+
Miaka
Conrad Ley
Host
Conrad Ley
ON AIR
Badilisha Tabia #njootuzungumze Badilisha Maisha Saikolojia ya Mahusiano Afya ya Akili Ukuaji wa Kweli #njootuzungumze
Badilisha Tabia #njootuzungumze Badilisha Maisha Saikolojia ya Mahusiano Afya ya Akili Ukuaji wa Kweli #njootuzungumze

Nitajifunza nini kwenye jukwaa hili?

Hili ni jukwaa la Kiswahili linaloendeshwa na Conrad Ley, kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Hutoa coaching ya ustawi wa kihisia, makala, na vitabu vya sauti kuhusu mahusiano, afya ya akili na mabadiliko ya tabia. Vikao huanzia TZS 45,000; audiobook “Maisha Mapya Baada ya Machozi” inauzwa TZS 25,000.

MAISHA MAPYA BAADA YA MACHOZI

Safari ya Kuponya Moyo Wako, Kurudisha Thamani Yako na Kujifunza Kuishi kwa Furaha Tena

Conrad Ley · Talk 'Bout It

Sura 9 · 1 saa 9 dakika · 192kbps

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Hili ni jukwaa la Kiswahili linaloendeshwa na Conrad Ley, likitoa mazungumzo, makala na vitabu vya sauti kuhusu saikolojia ya mahusiano, afya ya akili na ukuaji binafsi. Jukwaa linafanya kazi kutokea Dar es Salaam, Tanzania, na hutoa vikao mtandaoni na ana kwa ana.

Conrad Ley ni mkufunzi wa ustawi wa kihisia mwenye makazi yake Dar es Salaam, Tanzania. Anaongoza mazungumzo ya afya ya akili kwa Kiswahili, huendesha vikao vya coaching vya mtu mmoja mmoja na wanandoa, na ni mwandishi wa audiobook ya "Maisha Mapya Baada ya Machozi".

Online Session inagharimu TZS 45,000. One on One inagharimu TZS 120,000. Couple Session inagharimu TZS 150,000 hadi TZS 200,000. Kikao cha Bonus kinacho jumuisha vikao vitatu kwa discount kinagharimu TZS 110,000. Malipo hufanyika baada ya kuthibitisha nafasi kupitia social media DMs na WhatsApp.

Audiobook inauzwa kwa TZS 25,000 tu, ambayo ni malipo ya mara moja. Baada ya malipo unapata ufikiaji wa kudumu wa sura zote 9 ndani ya akaunti yako, bila ada ya kila mwezi.

Ina sura 9 zilizorekodiwa kwa Kiswahili, zikianzia na "Mwanamke Aliyejisahau". Kila sura inasikilizwa kupitia kicheza sauti cha tovuti. Unaweza kusikiliza dondoo la sekunde 30 bure kabla ya kununua.

Maswali yote
Jiunge

Pokea ushauri wa kila wiki.

Reflections, vipindi vipya, na zana za kukusaidia kuelewa akili yako — moja kwa moja kwenye inbox yako.

conradley.
Talk About It With Conradley © 2026. Badilisha Tabia, Badilisha Maisha.Imeundwa kwa upendo · Tanzania