MAHUSIANO YAKO YANAWEZA KUPONA
Pata ushauri wa kitaalamu utakaokusaidia kurejesha amani, upendo, mawasiliano na uaminifu katika mahusiano au ndoa yako.
Soma ZaidiChagua huduma inayoendana na kile unachopitia sasa. Kila huduma inatolewa kwa usiri kamili, ana kwa ana Dar es Salaam au mtandaoni.
Conrad Ley hutoa huduma tatu za ushauri: kuponya na kuimarisha mahusiano na ndoa, msaada wa afya ya akili kwa msongo wa mawazo, wasiwasi na huzuni, pamoja na mabadiliko ya tabia kwa ajili ya nidhamu na malengo. Vikao hufanyika ana kwa ana Dar es Salaam au mtandaoni kwa usiri kamili.
Pata ushauri wa kitaalamu utakaokusaidia kurejesha amani, upendo, mawasiliano na uaminifu katika mahusiano au ndoa yako.
Soma ZaidiPata msaada wa kitaalamu katika kukabiliana na msongo wa mawazo, wasiwasi, huzuni, uchovu wa kihisia na changamoto nyingine za maisha.
Soma ZaidiTambua tabia zinazokuzuia kufikia malengo yako na jifunze mbinu za kujenga tabia mpya zinazodumu.
Soma ZaidiWeka nafasi yako leo na uanze safari ya uponyaji, ustawi na ukuaji.
Weka Nafasi Yako